Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Iran inaendelea Kuichakaza Israel kwa Makombora hatari ya Balistiki.
Mara hii Israel inapokea Makombora ambayo haijawahi kuona. Wazayuni wanakimbia hovyo na kutangatanga wakitafuta maeneo ya kujificha.
Your Comment